Pages

8/13/2011

Diwani wa kata ya hai Ombaeli Lema na mkewe Rachel Orunu wafariki dunia baada ya ajali mbaya iliyotokea barabara kuu ya Sanya juu.


Watu wakilitizama gari lililopata ajali maeneo ya kwa Mosome barabara ya Sanya juu.

Gari lililopata ajali kwa ukaribu zaidi.

8/10/2011

Mambo ya nanenane mkoani Arusha.

watu na mishemishe zao!


Watu wamekusanyana katika bango la maonyesho.

Wafanyabiashara ndogondogo hawakuwa mbali,

Watoto na koni zao mikononi ili mradi ni sikukuu!

Foleni ya kuingia ndani ya nane!
burudani pia ilihusika ndani ya nanenane!

mtoto akishangaa burudani iliyokuwa ikitolewa katika maonesho hayo!