Journalism in blood
FRANKPHOTOZ.
Pages
(Move to ...)
HOME
VIDEOS
▼
9/27/2011
Huyu ni mwandishi wa habari?
Mwandishi wa habari Kennedy Rowland akiwa anachafua mazingira
na aliposhtuka nampiga picha akanipa mgongo
Kamaliza shughuli yake anaendelea na safari
.
9/26/2011
Hakunaga sehemu kali kama kibosho-Kilimanjaro.
Mbuzi huyo anachinjwa kwa ajili ya mila za kichaga.
Hapa tukawa tunakunywa killicho asili yetu yani MBEGE.
Jamaa katikati sijui ndo imeanza kupanda kichwani?
‹
›
Home
View web version