| watu wa sarakasi wakifanya vitu vyao katika maadhimisho hayo. | |
| Kikundi cha wachga real kikicheza ngoma katika maadhimisho hayo. |
| Mbwa aliyefunzwa na jeshi la polisi akiwa anatafuta bangi iliyofichwa katika moja ya kiwanja katika maadhimisho hayo. |
| mbwa akipita katikati ya ringi zenye moto katika maonesho hayo. |

