![]() |
| Anafungwa ngozi kwa ajili ya kuanza kazi, |
![]() |
| Anaingia kazini kutafuta riziki |
![]() |
| Ndani ya shimo la kazi |
![]() |
| Anapata alichokua anakitafuta |
![]() |
| Anamruhusu nyoka arukie mkono uliofungwa ngozi, |
![]() |
| Anamdaka kwa ajili ya kwenda kumuuza |
![]() |
| Mwenzake anamvuta ili atoke kwenye shimo |
![]() |
| Mzigo umekamilika tayari, |
![]() |
| Safari ya kuanza kurudi nyumbani inaanza hapo kazi imekamilika. |








