Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

9/06/2011

USISEME KAZI YAKO NI NGUMU KUNA WATU WANATAABIKA.

Anafungwa ngozi kwa ajili ya kuanza kazi,

Anaingia kazini kutafuta riziki

Ndani ya shimo la kazi

Anapata alichokua anakitafuta

Anamruhusu nyoka arukie mkono uliofungwa ngozi,

Anamdaka kwa ajili ya kwenda kumuuza

Mwenzake anamvuta ili atoke kwenye shimo

Mzigo umekamilika tayari,

Safari ya kuanza kurudi nyumbani inaanza hapo kazi imekamilika.

8/25/2011

Ni katika maadhimisho ya miaka hamsini ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro.

 watu wa sarakasi wakifanya vitu vyao katika maadhimisho hayo.
Kikundi cha wachga real kikicheza ngoma katika maadhimisho hayo.

                         Mbwa aliyefunzwa na jeshi la polisi akiwa anatafuta bangi                                                                                  iliyofichwa katika moja ya kiwanja katika maadhimisho hayo.

mbwa akipita katikati ya ringi zenye moto katika maonesho hayo.