Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

12/18/2011

Tumaini-Iringa; Kikao cha bunge chaendelea naibu waziri wa habari ataka kuanguka bungeni

                          Waziri wa katiba na sheria akiwa anawasilisha bajeti yake bungeni

                          Mawaziri waliowakilisha tawi la chuo cha Tumaini kutoka Mbeya

               Wakati kikao kinaendelea naibu waziri wa habari akazidiwa ghafla na kutaka kuanguka

          Baada ya kupata soda akaonesha dalili za kupona ingawa hakurudi bungeni moja kwa moja



                 wakati wa chakula ndo akaonekana amepona kabisa na kufanya mashambulizi ya hatari

Muda wa kazi kwa huyu mbunge akujivunga alikitafuna inavyotakiwa 
ni mbunge anayewawakilisha wanafunzi wa Journalism mwaka wa pili.

12/17/2011

Mawaziri na wabunge walivyokua kwenye muda wa mapumziko katika kikao cha bajeti



         spika wa bunge la chuo cha Tumaini akiwa anajadiliana jambo na wabunge wakati wa chakula


waziri wa HIV/AIDS akiwa katika pozi
                         Waziri wa katiba na sheria(kushoto) akiwa na naibu spika wa bunge

                           Naibu waziri wa habari (kushoto) akiwa anadoea chakula cha mbunge


                                 Waziri wa makazi akiwa anakula chakula chake taratibu


                                      Naibu waziri wa mikopo naye katika pozi mida ya lunch


                                 Baadhi ya wabunge wakiwa wamejibana sehemu wanakula

                           Waziri mkuu naye mida ya chakula akawakilisha vyema kabisa

                        Mbunge anayewawakilisha wanafunzi wa Journalism akiwa katika pozi

                                     Naibu waziri mwingine wa mikopo akiwa anakunywa maji tu

Mwanamichezo maarufu Shikide akiwa anabugia bila kuogopa kukabwa huku akiwa mmoja wa wanasoka walioalikwa kwenye kikao cha bunge.

Wanamichezo waliolikwa bungeni walipokuwa kwenye lunch