Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

10/24/2012

Sherehe za UN zamalizika jijini Dar es salaam

Mh. SAMWELI SITTA ALIKUWA MGENI RASMI AKIMUWAKILISHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE Mr. BERNARD MEMBE  KATIKA SHEREHE ZILIZOFANYIKA KARIMJEE-DAR ES SALAAM.

UMOJA WA MATAIFA UMETIMIZA MIAKA 67 NA KWA TANZANIA NI MIAKA 51 
HABARI KATIKA PICHA
Wanafunzi wa Heritage English Medium School wakipita kwa gwaride katika sherehe hizo

                              Mh. Samweli Sita akisoma risala yake kwenye sherehe za U.N

WANAFUNZI WA HERITAGE WAKIONESHA UJUZI WAO KWA KATIKA KUCHAPA GWARIDE
                             


10/19/2012

Vuguvugu la maandamano Dar- waandamanaji wasekwa mbaroni

HABARI KATIKA PICHA

Mama huyu alizimia baada ya kusikia mlipuko wa bomu

Jamaa akagoma kuingia kituo cha polisi 

Polisi wakijaribu kudhibiti baadhi ya watu waliosadikika ni waanzilishi wa vurugu

Mzee huyu alilia sana lakini haikusaidia aishushwa kwenye gari na kukokotwa hadi kituo cha polisi

Jamaa akijaribu kuwavusha watoto kwenye ghasia zilizotokea

                               Kariakoo ilikuwa nyeupe kwa mara ya kwanza SIJAWAHI KUONA

                                                            Gari hili lilivunjwa vunjwa vioo