| Wakiwa kwenye gari kabla hawajaingia chuoni Tumaini |
| Gari la TEKU likiwa linaingia chuo kikuu cha Tumaini |
| Hapa ilitokea hali ya kutoelewana na mlinzi akasema wanafunzi wa TEKU wasipoacha kelele hawatoingia chuoni. |
| Hapa ndo wamefika chuoni na kupokelewa na mlezi wa wanafunzi |
| Hapa baadhi ya wanafunzi wa TEKU wakiwa ndani ya jengo la library |
| bado wakiwa ndani ya jengo la library wakipokea baadhi ya maelekezo |
| Baadhi ya wanafunzi wa TEKU ndani ya studio za HOPE fm |
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.