Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

1/19/2013

LEMA AHOJI KWA NINI DIAMOND ALIPWE MIL. 12 KWENYE SHOW YA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA WAKATI ALIIMBA NYIMBO 1 KWA DK 5

ADAI HAKUKUWA NA SABABU YA MSINGI YA KUFANYA HIVYO HUKU ZE COMMEDY GROUP WALILIPWA MIL 1O

NI KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA OYSTEBAY ARUSHA

GODBLESS LEMA JUKWAANI

                                Aliyekuwa katibu wa uenezi C.C.M kata ya UNGALIMITED(pichani) baada ya kujivua gamba akakubali kuwa alikuwa mmoja kati ya watu wawili walioongoza uchakachuaji wa kura za udiwani wa UNGALIMITED 2010.

                                Jamaa akiipondaponda T-shirt ya C.C.M

                                 Hawa nao wakagawana hiyo T shirt ya C.C.M katika vipandevipande

MAMBO MENGINE ALIYOZUNGUMZIA MBUNGE WA ARUSHA MJINI NI PAMOJA NA USANII UNAOENDELEA KATIKA VIKAO VYA KAM ATI ZA BUNGE, UNAFKI UNAOENDELEA KATIKA NCHI HII PAMOJA NA SUALA LA MEYA WA ARUSHA MJINI YA KWAMBA BADO HAMTAMBUI.,
\

No comments:

Post a Comment

COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.