VIDEO MPYA AKIWA NA GARI AINA YA FERARRI/WASAFI
Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa NJEMA!
Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule
na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya
ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.
Mhhh nimeipenda hiyo....Haya twaisubiri video hiyoo...umetishaaaa journalism in blood...
ReplyDeletewasafi claxic
ReplyDelete