Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

8/03/2015

Kigamboni sea breeze.....

MV Magogoni kwenye route

Pweza a.k.a Octupus baada ya kuoshwa

Zanzibar moja na Kilimanjaro
Ngisi hao...

Bado freshhhh ndo kwanza wametoka kwenye maji...





4/03/2014

Segere la C.C.M Mwembeyanga


Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakicheza kwa furaha

Snura na team Majanga uwanjani..............

Majengo yaliyoingia kwenye hifadhi ya barabara yabomolewa Kariakoo

                                Baadhi ya wakazi wa Kariakoo wakipita kando ya ngazi
                                            iliyobomolewa kwenye mtaa wa Congo.

                                      Wapita njia wakiangalia jengo lililobomolewa kwa 
                                                sehemu ya nje na askari wa jiji.

                                       Askari wa jijin kwenye Doria ya kuhakikisha Machinga
                                                    hawauzi vitu mtaa wa Congo.

                                Wananchi wakimalizia kuliangusha jengo lilibomolewa na askari
                                                wa jiji ili lisije likawaangukia wananchi.

                                     Mtaa wa Congo ukiwa safi.

9/17/2013

Airtel yakabidhi hundi ya milioni 40 kwa Kikosi cha usalama barabarani.

 Meneja Uhusiano wa Airtel - Tanzania, Jackson Mmbando akizungumza na waandishi wa habari juu ya udhamini wa Airtel kwenye wiki la nenda kwa Usalama barabarani ikiwa ni muda mfupi baada ya kampuni hiyo kukabidhi hundi ya shilingi milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Kamanda Mohamed  Mpinga (kushoto).

 Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, DSP Mohamed R. Mpinga (katikati) akifurahia baada ya kupokea hundi ya shilingi milioni 40 kutoka Airtel kwa ajili ya


Kamanda Mpinga akiteta jambo na Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw. Jackson Mmbando baada ya makabidhiano ya hundi.

9/04/2013

MSICHANA WA KINAIGERIA ANTHONIA OJO ANASWA NA KETE 99 ZA UNGA JNIA DAR


JITIHADA ZA KUREJESHA HESHIMA KWA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI ZILIZOANZISHWA NA WAZIRI WA UCHUKUZI DK. HARISSON MWAKYEMBE ZINAONEKANA KUZAA MATUNDA BAADA YA MWANADADA KUTOKA NCHINI NIGERIA ANTHONIA OJO (25) KUKAMATWA NA KETE 99 ZA MADAWA YA KULEVYA DAR ES SALAAM LEO.

Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio zima la kunaswa kwa mtuhumiwa huyo ambapo anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi wakati kete hizo zimepelekwa kwa ofisi ya Mkemia Mkuu kwa uchunguzi zaidi. 

ANTHONIA OJO AKIWASILI KITUO CHA POLISI CHA JNIA BAADA KUKAMATWA.




ANTHONIA OJO AKIWA CHINI YA ULINZI AKISINDIKIZWA KUPANDA GARI LA POLISI KUTOKEA ENEO MLANGO WA KUWASILI ABIRIA JNIA LEO.

ANTHONIA OJO AKIELEKEA KWENYE GARI BAADA YA KUKAMATWA

PASPORT YAKE

HILO NDO BEGI MADAWA HAYO YALIKUWEMO



AKIZITOA KWENYE MIKEBE YA POWDER NA SHAMPOO 

SEHEMU YA KETE 99 ALIZOKAMATWA NAZO.

HUYO NDO ANTHONIA OJO AKIWA KITUO CHA POLISI

MADAWA HAYO YAKIRUDISHWA KWENYE VYOMBO BAADA YA KUONESHWA KWA WANAHABARI.

RECORD ZA ANTHONIA ALIWAHI KUJA TENA MWAKA 2011
Anthonia Ojo (25) Raia wa Nigeria akiwa na kete 99 za madawa ya kulevya baada ya kukamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana, akieleke Roma Italia kupitia Paris Ufaransa kwa ndege ya Ethiopian Airways. Msichana huyo aliingia hapa nchini Agosti 30 akitokea Nigeria. Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Viwanja vya Ndege, Renatus Chalya, Ojo anaendelea kubaki chini ya ulinzi wa polisi kwa uchunguzi zaidi, wakati madawa hayo yamepelekwa kwa ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini aina ya dawa hizo, thamani yake na hatimaye atafikisha mahakamani. 

source: Robert Okanda

8/06/2013

Diamond akiwa South Afrika kikazi zaidi

  VIDEO MPYA AKIWA NA GARI AINA YA FERARRI/WASAFI



 
Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa NJEMA!
 
Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.




Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.



UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JOMO KENYATTA WALIPUKA NA MOTO

UWANJA WA JKIA UKIWA UMELIPUKA KWA MOTO MKALI NA KUSABABISHA KUSITISHWA KWA MATUMIZI YA UWANJA HUO.


3/18/2013

Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili(Voice of America) Dk. Mwamoyo Hamza azungumza na wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa

                                Mkuu wa kitengo cha habari katika chuo kikuu cha Tumaini Mr Simon Berege akifungua mazungumzo.

Prof. Ceth Nyagava ambaye ni muadhiri katika chuo hicho akimshika mkono Dk. Mwamoyo Hamza huku akielezea kuwa  alishatamani kusoma Howard University chuo alichosoma Dk. Hamza.


                                               Dk. Hamza akielezea umuhimu wa kuthamini fani yako akitolea mfano maisha yake katika tasnia ya uandishi wa habari.

                               Dk. Mkwera muazilishi wa Best FM akitoa machache kwa wanafunzi.


                                     Prof. Nyagava akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa kuyajua majukumu na kuwa muwajibikaji katika maisha.

                                Baadhi ya wanafunzi wakisikiliza kwa umakini nasaha zilizokuwa zikitolewa na  Dk Hamza Momoyo.

3/03/2013

Yaliyojiri kwenye Kili Marathon leo


                                 Baadhi ya wacheza muziki wa dance wakionesha vitu vyao

                                 Jamaa alikamatwa baada ya kumshika mke wa mtu makalio

                                  Watoto wa kichaga wakimwaga radhi

                                Baadhi ya wakazi wa Moshi wakishuhudia show

                                  Mshindi wa kike katika mashindano ya kucheza akiwa anaonesha vitu vyake

                                        Uzalendo ukamshinda huyu mshikaji akamua kufanya kitu cha ajabu

Jamaa akiwa anacheza nyimbo ya chapia kwa kutumia baiskeli

Hawa nao wakakusanya raia kibao na kuwafanya waache kufuatilia kilichokuwa kinaerndelea jukwaani.