| Chidi Benzi jukwaani na Dar es salaam standup |
| B twelve ndo alikuwa MC kimpango mzima |
| Mwana FA akaachia mangoma yake ya long time. |
| Kalapina na Sumalago ndani ya HIP HOP bila madawa inawezekana. |
| Jamaa kavimba sijui kisa nini au ndo hasira? |
| Dah! Bro alivyoimba mpaka mimi uvumilivu ulinishinda alipogonga pini lake la zali la mentali. |
| Sister hajielewi anacheza tu goma la Profesor Jay. |
| Madee akiperform nyimbo ya muheshimu baba. |
| Tunda man anawakumbusha raia kuwa starehe gharama. |
| Watoto wa Manzese wakiwa pamoja jukwaani |
| Roma mkatoliki akiwa anaenda kupanda stegini |
| Kibaridi cha Iringa kimemchapa dogo Godzila akaanza kungatangata lips. |
| "hakuna uongozi mbaya, kama wa kwako Jakaya" Ndo Roma huyo. |
| Diana akilperform mshatugeuza mafungu ya nyanya. |
| Dj Choka mtamboni |
| Dogo Stamina na Country boy wakichana ile laana. |
| Huyo ndo raisi wa walamba lips yupo stegini muite Bob Junior. |
| Inspector Haroun(babu) ndani ya pamba nyepesi |
| Jamaa kacheza nyimbo za babu mpaka akazima. |
| Jaffarai akiimba nyimbo ambazo hazikukubalika kivile na watoto wa Iringa. |
| Jamaa kamkamatia manzi wake anamkiss kisela ndo mambo ya fiesta hayoooo alafu mwingine kama anasindikiza hivi?! |
| Jembe hilo Izo bussiness likiangusha magoma! |
| Kama Jigga vile selaa anaonesha swaga. |
| Mnzee wa nilipe nisepe akiperform goma lake huyo ni Berry 9. |
| God zilla akiwa anajiachia kwa stage |
| "Elimu ya mtaa ndo imenipachika confidence wanasema mi ni mpole but not in dat sense"Joh makini jukwaani |
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.