![]() |
| watu na mishemishe zao! |
![]() |
![]() |
| Watu wamekusanyana katika bango la maonyesho. |
![]() |
| Wafanyabiashara ndogondogo hawakuwa mbali, |
![]() |
| Watoto na koni zao mikononi ili mradi ni sikukuu! |
![]() |
| Foleni ya kuingia ndani ya nane! |
![]() |
| burudani pia ilihusika ndani ya nanenane! |
![]() |
| mtoto akishangaa burudani iliyokuwa ikitolewa katika maonesho hayo! |








No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.