watu wa sarakasi wakifanya vitu vyao katika maadhimisho hayo. | |
Kikundi cha wachga real kikicheza ngoma katika maadhimisho hayo. |
Mbwa aliyefunzwa na jeshi la polisi akiwa anatafuta bangi iliyofichwa katika moja ya kiwanja katika maadhimisho hayo. |
mbwa akipita katikati ya ringi zenye moto katika maonesho hayo. |