Meneja Uhusiano wa Airtel - Tanzania, Jackson Mmbando akizungumza na waandishi wa habari juu ya udhamini wa Airtel kwenye wiki la nenda kwa Usalama barabarani ikiwa ni muda mfupi baada ya kampuni hiyo kukabidhi hundi ya shilingi milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Kamanda Mohamed Mpinga (kushoto).
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, DSP Mohamed R. Mpinga (katikati) akifurahia baada ya kupokea hundi ya shilingi milioni 40 kutoka Airtel kwa ajili ya
Kamanda Mpinga akiteta jambo na Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw. Jackson Mmbando baada ya makabidhiano ya hundi.