HABARI KATIKA PICHA
Mama huyu alizimia baada ya kusikia mlipuko wa bomu
Jamaa akagoma kuingia kituo cha polisi
Polisi wakijaribu kudhibiti baadhi ya watu waliosadikika ni waanzilishi wa vurugu
Mzee huyu alilia sana lakini haikusaidia aishushwa kwenye gari na kukokotwa hadi kituo cha polisi
Jamaa akijaribu kuwavusha watoto kwenye ghasia zilizotokea
Gari hili lilivunjwa vunjwa vioo