Mwandishi wa habari Kennedy Rowland akiwa anachafua mazingira na aliposhtuka nampiga picha akanipa mgongo |
Kamaliza shughuli yake anaendelea na safari. |

Mbuzi huyo anachinjwa kwa ajili ya mila za kichaga. |
Hapa tukawa tunakunywa killicho asili yetu yani MBEGE. |
Jamaa katikati sijui ndo imeanza kupanda kichwani? |