Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

11/17/2012

Tanzania ifuate mfano wa Angola: Membe

                                 Membe akiwa anahutubia

                                 Keki ikakatwa na Balozi Ambrosio Lukoki na Waziri Membe

                                       Kisha wakalishana keki alama ya umoja na upendo
STORY IN ENGLISH
 By FRANK KIMARO
Tanzania should look to Angola as an example in the proper use of natural resources for the development of a nation says The Minister for Foreign affairs and International Affairs Mr Bernard Membe.

Hon Membe made the remarks during the celebrations of Angola 37th National Independence Anniversary conducted by Angola embassy in Tanzania at Hyatt Regency early this weekend.

Mr Membe said now Tanzania is having gas and we expect five years to come the country will be more rich if that resource will be used properly noting that the policy which are made in exporting the gas should not tighten the citizens of Tanzania.

“Tanzania now will start to extract gas that means we should look forward to ensure the policy we are making are not hindering our country development,” he said.

Mr Membe further noted that Angola is using their resources vividly giving an example of mining and fuel saying they contributes to its Gross domestic Product (GDP).

Minister said those are things which should be learnt by our country adding that now Angola is fighting for rural transformation were they striving to make sure social services are everywhere in the nation.

“They are building schools,hospitals and their roads are well consolidated they are now planning to have a bullet train from Lobito to Luanda then Zambia, imaging African country thinking of having a bullet train,” he verified.

On his part, Ambassador of Angola to Tanzania, Professor Ambrosio Lukoki, said that  the secret of success to Angola is the commitment and efficiency of the government in every sector under it with the objectives based on motivation of social justice and human development.

“The levels of growth result from the effectiveness of the measures undertaken by the government for stability of the macroeconomic indicators of fiscal,monetary and exchange nature which allowed economic to be reanimated,” Ambassador proclaimed.

Prof Lukoki further said that Tanzania and Angola partnership will not end and now Tanzania will benefit from Angola`s experience in the oil and gas industries and Tanzania might be able to receive oil from Angola in advantageous conditions.

Angola got its independence on 11/11/1975 from Portugal through armed struggle.

11/15/2012

Anaomba msaada wenu watanzania

Zinahitajika milioni sita ili mwanawe akafanyiwe matibabu India


Haja ya mtoto huyo hupita katika sehemu ya Tumbo

Na zamani ilikuwa ikipita mdomoni kabla hajafanyiwa operation hospitali ya Muhimbili

Anashindwa kujitafutia kipato kwa madai kwamba mtoto atamuachia nani?

Anasema hawezi kumtupa kama wengine wanavyowatupa wa kwao.

AKASEMA: “Naomba mnisaidie”

11/14/2012

Huyu Jamaa anavyotaka Daraja la Kigamboni liwe

Salum Ngakonda akiwaonesha wapita njia wa Tazara daraja alilolitengeneza huku akisisitiza ndivyo daraja la Kigamboni linavyotakiwa kuwa.

11/13/2012

Wafanyakazi TAZARA wagoma


Na Frank Kimaro
Wafanyakazi wa Tanzania and Zambia Railway (TAZARA) waliopo kanda maalumu ya Dar es salaam jana walifikia maamuzi ya kutokufanya kazi mpaka mkurugenzi wa shirika hilo atakapokubali kuzungumza nao.

Wafanyakazi hao walitoa rai hiyo baada ya mkurugenzi wa shirika hilo kukataa kuzungumza nao akitoa sababu kwamba hakuwa tayari mpaka Jumatatu ya wiki ijayo ndipo ataweza kuzungumza juu ya matakwa yao.

Baadhi ya abiria wakisubiria treni wakati mgomo wa wafanyakazi ukiendelea. 

Wafanyakazi hao waliweka bayana madai mbalimbali ambayo shirika hilo linapaswa kuwatimizia lakini bado mpaka sasa hayajatimizwa na hakuna sababu za msingi zilizotolewa na kiongozi uongozi mkuu wa shirika hilo katika kushindwa kutimiza matakwa yao.

“Hatujapata mishahara ya miezi miwili yani wa 9 na wa 10 na sasa tunaelekea katikati ya mwenzi wa 11, hatuelewi hatima yetu wakati sisi pia tuna majukumu kama binadamu wengine”Alisikika akisema mmoja wa wafanyakazi ambaye hakupenda jina lake litajwe.

Mwenyekiti wa Chama cha wafanyakazi wa reli (TRAWU) kanda maalumu ya Dar es salaam Bw Yusufu Mandai alisema madai yanayotolewa na wafanyakazi  wenzake ni ya msingi na yanapaswa kutiliwa maanani kwa sababu mshahara ni haki yao ukizingatia wanafanya kazi.

“Watu wanaishi kutokana na mishahara inayopatikana hapa si vyema watu kufanya kazi mienzi miwili mfululizo bila kulipwa mishahara yao,” alisikika akisema.

Msemaji mkuu wa TAZARA, Bw Conrad Simuchile ameliambia gazeti hili kwamba kwa sasa shirika hilo haliko tayari kuzungumzia juu ya hali hiyo lakini itatoa tamko siku za karibuni.

“Shirika litatoa kauli kuhusiana na hali inayoendelea katika siku chache zinazokuja,” alisema Bw Simuchile.

11/11/2012

Mahusiano kati ya Mapenzi na Ubongo

By FRANK KIMARO

Unaweza kushangaa kwa nini mtu kwenye mapenzi anaweza kuitoa sadaka ndoa yake, familia, mali au chochote chenye thamani kwenye maisha yake kwa sababu ya kitu kinaitwa Penzi.
Madaktari mbalimbali wamejaribu kufanya chunguzi kwa nini mapenzi yanaweza kutufanya kuwa watumwa, wenye furaha kupitiliza au wenye majonzi.

Technolojia ya "KUSCAN UBONGO" inawaruhusu wataalamu kutambua nini kinachoendelea kwenye ubongo wakati tumeanguka kwenye mapenzi.

Dumb love: When we are passionate about a person it makes parts of our brain shut down, including the ones controlling fear and judgement 
Wanaona mabadiliko kwenye ubongo na kugundua sehemu zilizo kwenye ubongo ambazo zinaathirika kutokana na penzi vilevile sehemu ambazo zinashindwa kufanya kazi hususani unapokuwa na Unayempenda.
Zaidi ya hivyo teknolojia hiyo inaonesha jinsi mapenzi yanavyoweza kukufanya ukawa mgumu kufanya maamuzi na maisha yako kuendeshwa na hisia huku uwezo wa kufikiria ukishuka.
Wanasayansi wanategemea siku moja itaonesha jinsi gani tunaweza kuvuka mipaka ya malengo yetu tuliyojiwekea kwa sababu tu ya kupenda.
READ THIS SPECIAL ARTICLE