Wakiwa wanajiandaa na safari kutoka Tanga
Masai a.k.a mahasira sasa amerudi kambini
Vikombe vilivyokua vikishindaniwa katika michuano hiyo.
Waziri wa michezo Bw. Hashim akiwa ameshika kikombe walichoshinda Tumaini katika mpira wa miguu.
Naibu waziri Lazaro Mlyuka akifungafunga machungwa kutoka Tanga.
Big. Joh baada ya safari ndefu sasa yupo tena dimbani kutoka Tanga.
Jamaa akatoka wapi sijui akajifanya anapokea watu kumbe anamendea maembe na machungwa.
Anajifanya kachoka kubeba machungwa nilipomuomba nimsaidie akakataa