Katika uwanja wa Netball mambo yalikua hivi
Baada ya ushindi timu ya Tumaini ikajipumzikia
Kwenye basketball sasa
Timu ya Tumaini ikijiandaa na game
Timu ya TEKU nayo iliwa imejipanga vyema
Baadhi ya mashabiki wa kikapu wakiwa katika pozi
Vijana wa Tumaini wakiwa makini mchezoni
Kijana Faraja Naiman akitulizwa baada ya kutaka kugombana katika game hiyo
Mashabiki wa basketball wakiwa katika pozi
Mashabiki wakicheki game kwa uangalifu kabisa
Game ikaisha ambapo Tumaini walishinda na hapo wanaonekana wakisali
Vuta nikuvute kwenye mpira wa miguu mpaka matokeo ya 2-2
Vijana wakiwa uwanjani wanasakata kabumbu
Kocha akitoa maelekezo kwa mchezaji baada ya maji kuonekana kuzidi unga