10/28/2011
Katika mahafali ya 14 ya chuo kikuu cha Tumaini Iringa.
Wahitimu wakiwa katika msafara kabla ya sherehe hiyo kuanza.
Wahitimu wakiongozwa na mshauri wa wanafunzi mch. Osward Ndelwa wakielekea sehemu husika kwa ajili ya wahitimu.
10/27/2011
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dk. Christine Ishengoma aahidi kutatua tatizo la mikopo kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha Tumaini Iringa.(picha zote na Frank Kimaro)
Mkuu wa mkoa alipowasili katika chuo kikuu cha Tumaini Iringa.
Waziri mkuu wa chuo kikuu cha Iringa akiwaanasoma risala fupi kwa mkuu wa mkoa wa Iringa.
Mkuu wa mkoa akiwa ananongonezana
jambo na raisi wa chuo Bw. Method Kagoma.
Raisi wa chuo akiwa anatoa rai kwa
wanafunzi kabla mkuu wa mkoa ajaanza kuongea.
Mkuu wa wilaya ya Iringa capt. Asser Msangi
alipokuwa akimkaribisha mkuu wa mkoa.
Mkuu wa mkoa akaanza kuelezea jinsi alivyoipokea risala na kuahidi
kuyafanyia kazi matatizo ya wanafunzi likiwepo tatizo la mikopo.
Mshauri wa wanafunzi Mch. Osward Ndelwa
akiwa anamsikiliza kwa makini mkuu wa mkoa
katika mkutano wake na wanafunzi.
Prof. Nyagava akiwa anauliza swali juu ya ukarabati wa
barabara inayotumika na wahadhiri na wanafunzi kufika chuoni.
Wanafunzi kwa ujumla wakiwa wanamsikiliza mkuu wa mkoa alipofika chuoni kusikiliza matatizo yao.
Subscribe to:
Posts (Atom)