Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

1/19/2013

LEMA AHOJI KWA NINI DIAMOND ALIPWE MIL. 12 KWENYE SHOW YA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA WAKATI ALIIMBA NYIMBO 1 KWA DK 5

ADAI HAKUKUWA NA SABABU YA MSINGI YA KUFANYA HIVYO HUKU ZE COMMEDY GROUP WALILIPWA MIL 1O

NI KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA OYSTEBAY ARUSHA

GODBLESS LEMA JUKWAANI

                                Aliyekuwa katibu wa uenezi C.C.M kata ya UNGALIMITED(pichani) baada ya kujivua gamba akakubali kuwa alikuwa mmoja kati ya watu wawili walioongoza uchakachuaji wa kura za udiwani wa UNGALIMITED 2010.

                                Jamaa akiipondaponda T-shirt ya C.C.M

                                 Hawa nao wakagawana hiyo T shirt ya C.C.M katika vipandevipande

MAMBO MENGINE ALIYOZUNGUMZIA MBUNGE WA ARUSHA MJINI NI PAMOJA NA USANII UNAOENDELEA KATIKA VIKAO VYA KAM ATI ZA BUNGE, UNAFKI UNAOENDELEA KATIKA NCHI HII PAMOJA NA SUALA LA MEYA WA ARUSHA MJINI YA KWAMBA BADO HAMTAMBUI.,
\

1/17/2013

NI WAPI TUNAENDA WAAFRIKA:Ndoa ya Mashoga iliyofungwa hivi karibuni

Zipo wapi tamaduni zetu watu weusi???????

                                                                Mungu atusaidie tu kwa kweliii


1/14/2013

Dr. Slaa amuambia J.K ajiandae kwenda The Hague

Ni wakati akitoa sera zake katika manispaa ya Moshi ikiwa ni mara ya kwanza kukutana na Wananchi hao tangu 2010

ASEMA TANZANIA HAIPO KWA MASLAHI YA KIKWETE BALI NI KWA WATANZANIA WOTE

AKUMBUSHIA UVUSHWAJI HARAMU WA TWIGA

ASEMA KIKWETE ATAWAJIBIKA KWA MAUAJI MBALIMBALI YALIYOTOKEA KATIKA NCHI HII 

                                Dr. Willibroad Slaa akingaka stejini

                                       

                        Baadhi ya wananchi wakishabikia alichokuwa akiongea Dr. Willibroad Slaa

                                  Godbless Lema naye akanadi sera zake
                                       Godbless Lema akikusanya mchango kwa ajili ya Movement for Change(M4C)