Siku ilianza kwa kutembelea kituo cha Business times ambapo wanafunzi waliambiwa barua yao ilichelewa kufika
4/24/2012
4/23/2012
Safari ya wanafunzi wa Journalism mwaka wa pili ilivyoanza
Hapa ni wakati wanatoka Iringa
Hapa ni ndani ya basi
Hapa ni mapumziko maeneo ya kitonga
Safari ikaendelea huku kukiwa na uchovu wa kutosha wengine
ulitokana na Viroba wengine kuchoka kwa kawaida
Na hapa ni tulipofika Ubungo nashukuru Mungu tulifika
salama.
Subscribe to:
Posts (Atom)