PICHA ZA TUKIO HILO KATIKA UWANJA MAARUFU WA SHEIKH AMRI
2/23/2013
Godbless Lema aahidi kufanya maandamano na wanafunzi wa Arusha Secondary katika kurudisha viwanja vya wanafunzi vilivyoporwa na Matajiri wachache.
NI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA HAMSINI TANGU KUANZISHWA KWA SHULE HIYO.
ASEMA MAANDAMANO MABAYA NI YA KUANDAMANA KWENDA KUVUTA BANGI SI KUANDAMANA KATIKA KUDAI HAKI..
ASISITIZA WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII NA KUEPUKA KUIGA TABIA HATARISHI HUSUSANI KUTOKA KWENYE VIPINDI VYA TV.
Akimkabidhi Hoyce Temu cheti maalumu kama moja ya zao la shule hiyo
Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Link inayowawezesha wanafunzi kwenda kusoma nje Abdulwakil Molel ambaye pia alisoma Arusha Secondary akitoa wito wa serikali kwamba ni lazima kujipanga zaidi katika kuokoa hali ya elimu nchini.
2/21/2013
Subscribe to:
Posts (Atom)