Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

9/17/2012

Jordan Rugimbana azindua wiki la nenda kwa usalama barabarani Dar es salaam

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Jordan Rugimbana alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa wik ya nenda kwa usalama barabarani.

KAULI MBIU PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO ZINGATIA SHERIA

Jordan Rugambana baada ya kuwasili kwenye viwanja vya mnazi mmoja

Baadhi ya maaskari wakipiga Gwaride mbele ya Mgeni rasmi
                           
Kalunde band wakitumbuiza katika maadhimisho hayo
                           
                                Watoto wakiimba nyimbo inayohamasisha wiki la nenda kwa usalama barabarani

                                Mgeni rasmi akiuliza swali kuhusu alama za barabarani

                                Baada ya yote akahojiwa na waandishi wa habari ambapo alitoa wito kwa vyombo vya habari kuwa vinatakiwa vikumbushe wananchi juu ya umuhimu wa kufuata sheria za barabarani.

MAADHIMISHO YA WIKI LA USALAMA BARABARANI YATAFANYIKA MKOANI IRINGA

9/16/2012

Lipumba leads V4C donators

By FRANK KIMARO

HUNDREDS of the Civic United Front (CUF) supporters yesterday attended a charity march from the party’s offices in Buguruni to Jangwani Grounds, Dar es Salaam where it was announced that over 68m/- have been raised.

The CUF Chairman, Prof Ibrahim Lipumba said that the monies raised yesterday makes the total of funds collected so far from members of the party reach over 129.3m/-.

He told party supporters who gathered at the Jangwani grounds that the monies been collected would be spent in funding various activities on the party’s Vision for Change (V4C) campaigns which will witness non-stop marathon until 2015.


    Prof Ibrahim Lipumba receiving money from Civic United Front supporter in the special occasion at           Jangwani grounds yesterday


“We will use the money to fund different activities in our Vision for Change campaigns which will be marked with several political activities around the country that will enable us win the forthcoming general elections in 2015,” he said.

He said that his party was been pushed by its determination to bring about development to all people and ensure equal rights to all Tanzanians.

He said that Arusha is one of the most gifted regions in the country whose potentials would play a big role in developing the nation and benefit its residents but because of unfavorable political situation the area is lagging behind.

“I will leave for Arusha soon where will share views with the residents on how their region is potential and how they can use it to improve their living standards, but they should also change their political perspectives,” He said

Prof Lipumba noted after his Arusha tour, he will get prepared to travel to Brussels, Belgium where he will meet his fellow Economists from all over the world to discuss Euro’s depression.


Dr. Asha Rose Migiro apokelewa kwa kishindo

NI BAADA YA KUMALIZA MUDA WAKE KAMA NAIBU KATIBU MKUU WA UN

                              Akiwa anashangiliwa na Umoja wa wanawake Tanzania huku wakiimba nyimbo za asili


                               Mama Salma Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi katika
sherehe hiyo akionesha umaridadi wa kucheza ngoma pamoja na Dr. Asha Rose Migiro

                              Bibi Maria Nyerere(katikati) akiwa pamoja na Mama Siti (kulia)
                              pamoja na spika wa bunge Ana Makinda wakisikiliza hotuba ya
                              Mgeni rasmi
Mwenyekiti wa UWT na Mh. Waziri wa maendeleo ya jamii na jinsia na watoto (kulia) akiupungia umati uliokusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja

                              Mama Salma akimkabidhi tuzo Dr Migiro
Dr Migiro akiwapa mkono watu waliokuwa wakimshangilia na kumpa zawadi