Mh. SAMWELI SITTA ALIKUWA MGENI RASMI AKIMUWAKILISHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE Mr. BERNARD MEMBE KATIKA SHEREHE ZILIZOFANYIKA KARIMJEE-DAR ES SALAAM.
UMOJA WA MATAIFA UMETIMIZA MIAKA 67 NA KWA TANZANIA NI MIAKA 51
HABARI KATIKA PICHA
Wanafunzi wa Heritage English Medium School wakipita kwa gwaride katika sherehe hizo
WANAFUNZI WA HERITAGE WAKIONESHA UJUZI WAO KWA KATIKA KUCHAPA GWARIDE