Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

7/08/2011

Kwa mara ya kwanza fiesta imehappen pande za Iringa na mzuka wa kutosha.(picha na Frank Kimaro)


Chidi Benzi jukwaani na Dar es salaam standup
B twelve ndo alikuwa MC kimpango mzima


Mwana FA akaachia mangoma yake ya long time.

Kalapina na Sumalago ndani ya HIP HOP bila madawa inawezekana.



Jamaa kavimba sijui kisa nini au ndo hasira?

Dah! Bro alivyoimba mpaka mimi uvumilivu ulinishinda alipogonga pini lake la zali la mentali.

Sister hajielewi anacheza tu goma la Profesor Jay.


Madee akiperform nyimbo ya muheshimu baba.

Tunda man anawakumbusha raia kuwa starehe gharama.

Watoto wa Manzese wakiwa pamoja jukwaani

Roma mkatoliki akiwa anaenda kupanda stegini

Kibaridi cha Iringa kimemchapa dogo Godzila akaanza kungatangata lips.

"hakuna uongozi mbaya, kama wa kwako Jakaya" Ndo Roma huyo.

Diana akilperform mshatugeuza mafungu ya nyanya.

Dj Choka mtamboni


Dogo Stamina na Country boy wakichana ile laana.

Huyo ndo raisi wa walamba lips yupo stegini muite Bob Junior.

Inspector Haroun(babu) ndani ya pamba nyepesi

Jamaa kacheza nyimbo za babu mpaka akazima.

Jaffarai akiimba nyimbo ambazo hazikukubalika kivile na watoto wa Iringa.

                                                       Jamaa kamkamatia manzi  wake anamkiss kisela ndo mambo ya fiesta hayoooo alafu mwingine kama anasindikiza hivi?!

Jembe hilo Izo bussiness likiangusha magoma!

Kama Jigga vile selaa anaonesha swaga.

Mnzee wa nilipe nisepe akiperform goma lake huyo ni Berry 9.

God zilla akiwa anajiachia kwa stage


                                                                               "Elimu ya mtaa ndo imenipachika confidence wanasema mi ni mpole but not in dat sense"Joh makini jukwaani

7/05/2011

Na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa katika kumsaka Mr. na Miss Tumaini(2011-2012). picha zote na Frank Kimaro.

                                           Mshindi wa kinyanganyiro cha Mr. Tumaini,
                                       Happyson Bwenge  akionesha kipaji cha kuigiza.
                                    Msanii Andrew G. mzee wa Scola akitumbuiza vyema
                                                  katika ukumbi wa St. Doninick.
                                 Washiriki waliokuwa wakiwania taji la Mr. na Miss. Tumaini
                                                    katika picha ya pamoja.
                                       Joshua Mlolere aliyeshinda kama Mr. photogenic
                                     akiwa anajibu swali aliloulizwa na mmoja wa majaji.
                                             Mwanadada akifurahia na 
                                            kucheza wakati msanii C-pwaa akitumbuiza.
                                      Msanii C-pwaa akijiandaa kuperform
                                 wimbo  wake wa problem wakati wa shindano hilo.
                                      waliokuwa Mr. na Miss Tumaini 2010-2011 wakijiandaa
                                                               kuvua mataji yao.
                                            Mshindi wa Mr. Tumaini, Happison Bwenge
                                    akiwa anashangilia ushindi wake baada ya kutangazwa.
                                          Washindi wa Mr. na Miss Tumaini Happyson na Neema Mollel                                 katika picha ya pamoja nyuma yao ni washindi wa pili na wa tatu  kwa kila pande.                                                       .

Wakiwa katika mazoezi ya kumtafuta Mr. na Miss Tumaini mambo yalikuwa hivi.(picha zote na Frank Kimaro)

                                             Baadhi ya washiriki wa Mr na Miss Tumainiwakiwa
                                                katika mazoezi kabla ya siku ya mashindano yao.
                                           Maryline Mamuya na Josephine Mashallah walikuwa
                                          ndio  walimu wa washiriki na hapo wanaonekana wakiteta.
 Washiriki wakicheza na walimu wao.

Wanafunzi wa sheria chuo cha Tumaini Iringa wafanya maigizo ya mahakamani (Moot court) katika siku waliyoiita Law day.(picha zote na Frank Kimaro)

                                           Mwanafunzi wa shahada ya utalii (2) Adela Kimaro
                                       akiigiza kama muendesha mashtaka wa upande wa serikali.
                                           Benard akiwa anaigiza kama mshtakiwa na
                                                kushika Quaran kwa ajili ya kuapa.
                                           Prof. Nicholas Bangu akishuhudia vijana wake
                                                              katika moot court.
                                            Kijana aliyefahamika kwa jina moja tu la Athanas
                                              akiigiza kama askari anayelinda washtakiwa.

Hawa ndo wale wezi wa Semtema Iringa.

kushoto ni Mohamed Michael na Justine Mwandi wakipelekwa polisi baada ya kutuhumiwa kama wezi.

                           Mwenyekiti wa mtaa wa Igumbililo aliyeendesha zoezi la kukamata wezi.