Vijana wakiwa wanasubiri wagombea wao kuja kuanza kunadi sera zao
Aliyekuwa naibu waziri wa habarih(Catherine Moshi) akiwa na mwalimu wake(Mr. Damalo) kabla ya kuanza kuwasikiliza wagombea mbalimbali
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi(Edo Mfungo) akiwa anamtambulisha mgombea wa Uraisi Joshua Chussi
Mshauri wa wanafunzid(Hosward Ndelwa) alisimama kuwakanya wanafunzi pale kelele zilipozidi
Mgombea wa kiti cha uraisi Mauna Chuma akiwa anazinadi sera zake
Mmoja kati ya wagombea wa kiti cha makamu wa raisi Judith Kahwa
Shabiki huyu alshindwa kuhimili hisia zake na kujikuta amepanda juu ya dawati akishabikia
4/19/2012
4/17/2012
Mwanafunzi wa Tumaini Iringa ungependa kuwa na raisi wa aina gani?
Kuanzia kulia ni mgombea wa uraisi Mauna Chuma akiwa na Mpoki Ndimyaki (kati) ambaye ndiye mratibu wa kampeni za mgombea huyo pamoja na Humphrey Kusika
MAONI YA WADAU KUHUSU RAISI WANAYEMTAKA
Mimi kwanza kura sipigi maana sikubali kudanganyika
Kwanza uongozi uliopita ungetuambia elfu kumi na nane zetu umepeleka wapi
Inabidi aruhusu hata bodaboda zipaki ndani ya chuo
Raisi akiwa sharobaro itakuwa poa sio habari za kichungaji
Raisi awe mtu wa watu mara mojamoja awe anatokea hata kwenye birthday
Anatakiwa awe muwazi sio fisadi kama baadhi ya waliopita
Awe anajali hata michezo kidogo
Akiwa mnywaji kama yule mwingine pia sio mbaya ila asiwe fisadi
4/15/2012
Tumaini University yaichabanga Ruaha University 38-34 katika mchezo wa kikapu
Faraja Naiman(big) wa Tumaini akiwa anaenda kudaka mpira kabla mechi haijaanza
Maxwell mchezaji wa Tumaini akiwa anapenya vizuri kabisa kwa ajili ya kwenda kufunga
Kocha wa timu ya Tumaini Renatus Mgongo akiwa an anatoa maelekezo kwa wachezaji wake
mchezaji wa Tumaini baada ya kuanguka katika mchezo huo
shabiki maarufu kama Masai akiwa anashabikia mchezo huo
Mchezo ulivyozidi kuwa mgumu RUCO wakaitana kidogo waelekezane baadhi ya mambo

Subscribe to:
Posts (Atom)