Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

9/22/2011

Baadhi ya wadau wa muziki mkoani Kilimanjaro.

                                  Amiyeyo(kushoto) akiwa pamoja na Dj Drill ndani ya Kili fm.
                                 Dj Expensive(kushoto) akiwa na producer Jumbe wa Nad recordz.
Producer Jumbe akiwa na mmoja wa wasanii katika studio zake maarufu kama Mkaya.

9/21/2011

Mungu aliyetuvusha vyema mwaka wa masomo uliopita ndiye atakayetuvusha vyema tena mwaka wa masomo unaokuja.

Kuna nyakati za uzuni ila Mungu hutupa moyo.

Kuna nyakati za story na marafiki ambazo huleta faragha.

Naibu waziri wa michezo (Lazaro Mlyuka) akiwa katika pozi.

Mkuu wa kitivo cha sheria ambayye pia ni kocha wa team ya mpira wa kikapu chuo kikuu cha Tumaini Iringa.

Raisi wa chuo cha Tumaini Iringa akiwa na aliyekuwa naibu waziri wa michezo chuoni hapo.

Naibu waziri wa michezo maarufu kama Trizer akiwa  na mchezaji wa mpira wa kikapu chuoni maarufu kama kweba.

Katika mishemishe magetoni dada anaosha vyombo na ndo maisha ya chuo.

Mmoja wa wabunge katika chuo cha Tumaini Joshua Mlolere akiwa katika pozi.

Hawa ndo wale wanaoitwa masharobaro jamaa anajiandaa kuwapokea first year.