Anafungwa ngozi kwa ajili ya kuanza kazi, |
Anaingia kazini kutafuta riziki |
Ndani ya shimo la kazi |
Anapata alichokua anakitafuta |
Anamruhusu nyoka arukie mkono uliofungwa ngozi, |
Anamdaka kwa ajili ya kwenda kumuuza |
Mwenzake anamvuta ili atoke kwenye shimo |
Mzigo umekamilika tayari, |
Safari ya kuanza kurudi nyumbani inaanza hapo kazi imekamilika. |