Baadhi ya wanafunzi kwenye msiba
Wakiwa wamejipanga wanausubiria mwili wa marehemu
Mwili wa marehemu ukafika salama
Hapa mwili wa marehemu unapelekwa jengo la Multirpurpose kwa ajili ya kuagwa kwa mara ya mwisho
Watu wakiwa wamejipanga vyema kwa ajili ya kuuaga mwili wa marehemu
Tayari kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho
Mkuu wa chuo cha Tumaini Prof. Nicholas Bangu akitoa heshima za mwisho
Wanafunzi wenzake wakato heshima za mwisho
Mwili anapelekwa kwenye gari kwa ajili ya safari
Unaingizwa kwenye gari kwa ajili ya safari ya Dodoma
Kisha watu wakatawanyika kwenda kwenye shughuli zao mbalimbali |
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.