Maafisa 15 kutoka mikoa mbalimabali ya Tanzania wataondoka
kwa ndege ya Qatar Airlines kuelekea Korea kwa ajili ya kozi fupi ya Local
Administration Management inayodhaaminiwa na Korea International Cooperative Agency.
Baadhi ya washiriki wa kozi wakipitia passport zao
Akiwagawia vitabu kama muongozo wa kozi watakayoenda kuisoma
Akiwa anajibu maswali ya hapa na pale