Prof. Ceth Nyagava ambaye ni muadhiri katika chuo hicho akimshika mkono Dk. Mwamoyo Hamza huku akielezea kuwa alishatamani kusoma Howard University chuo alichosoma Dk. Hamza.
Dk. Hamza akielezea umuhimu wa kuthamini fani yako akitolea mfano maisha yake katika tasnia ya uandishi wa habari.
Dk. Mkwera muazilishi wa Best FM akitoa machache kwa wanafunzi.
Prof. Nyagava akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa kuyajua majukumu na kuwa muwajibikaji katika maisha.
Baadhi ya wanafunzi wakisikiliza kwa umakini nasaha zilizokuwa zikitolewa na Dk Hamza Momoyo.