Meneja Uhusiano wa Airtel - Tanzania, Jackson Mmbando akizungumza na waandishi wa habari juu ya udhamini wa Airtel kwenye wiki la nenda kwa Usalama barabarani ikiwa ni muda mfupi baada ya kampuni hiyo kukabidhi hundi ya shilingi milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Kamanda Mohamed Mpinga (kushoto).
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, DSP Mohamed R. Mpinga (katikati) akifurahia baada ya kupokea hundi ya shilingi milioni 40 kutoka Airtel kwa ajili ya
Kamanda Mpinga akiteta jambo na Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw. Jackson Mmbando baada ya makabidhiano ya hundi.
9/17/2013
9/04/2013
MSICHANA WA KINAIGERIA ANTHONIA OJO ANASWA NA KETE 99 ZA UNGA JNIA DAR
JITIHADA
ZA KUREJESHA HESHIMA KWA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI ZILIZOANZISHWA NA
WAZIRI WA UCHUKUZI DK. HARISSON MWAKYEMBE ZINAONEKANA KUZAA MATUNDA
BAADA YA MWANADADA KUTOKA NCHINI NIGERIA ANTHONIA OJO (25) KUKAMATWA NA
KETE 99 ZA MADAWA YA KULEVYA DAR ES SALAAM LEO.
Zifuatazo
ni picha mbalimbali za tukio zima la kunaswa kwa mtuhumiwa huyo ambapo
anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi wakati kete hizo zimepelekwa
kwa ofisi ya Mkemia Mkuu kwa uchunguzi zaidi.
|
|
ANTHONIA OJO AKIELEKEA KWENYE GARI BAADA YA KUKAMATWA |
PASPORT YAKE |
HILO NDO BEGI MADAWA HAYO YALIKUWEMO |
AKIZITOA KWENYE MIKEBE YA POWDER NA SHAMPOO |
SEHEMU YA KETE 99 ALIZOKAMATWA NAZO. |
HUYO NDO ANTHONIA OJO AKIWA KITUO CHA POLISI |
MADAWA HAYO YAKIRUDISHWA KWENYE VYOMBO BAADA YA KUONESHWA KWA WANAHABARI. |
RECORD ZA ANTHONIA ALIWAHI KUJA TENA MWAKA 2011 |
Anthonia
Ojo (25) Raia wa Nigeria akiwa na kete 99 za madawa ya
kulevya baada ya kukamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius
Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana, akieleke Roma Italia kupitia Paris
Ufaransa
kwa ndege ya Ethiopian Airways. Msichana huyo aliingia hapa nchini
Agosti 30
akitokea Nigeria. Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Viwanja vya Ndege,
Renatus Chalya, Ojo anaendelea kubaki chini ya ulinzi wa polisi kwa
uchunguzi zaidi, wakati
madawa hayo yamepelekwa kwa ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali ili
kubaini aina ya dawa hizo, thamani yake na hatimaye
atafikisha mahakamani.
source: Robert Okanda
source: Robert Okanda
8/06/2013
Diamond akiwa South Afrika kikazi zaidi
VIDEO MPYA AKIWA NA GARI AINA YA FERARRI/WASAFI
Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa NJEMA!
Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule
na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya
ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.
UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JOMO KENYATTA WALIPUKA NA MOTO
3/18/2013
Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili(Voice of America) Dk. Mwamoyo Hamza azungumza na wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa
Mkuu wa kitengo cha habari katika chuo kikuu cha Tumaini Mr Simon Berege akifungua mazungumzo.
Prof. Ceth Nyagava ambaye ni muadhiri katika chuo hicho akimshika mkono Dk. Mwamoyo Hamza huku akielezea kuwa alishatamani kusoma Howard University chuo alichosoma Dk. Hamza.
Dk. Hamza akielezea umuhimu wa kuthamini fani yako akitolea mfano maisha yake katika tasnia ya uandishi wa habari.
Dk. Mkwera muazilishi wa Best FM akitoa machache kwa wanafunzi.
Prof. Nyagava akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa kuyajua majukumu na kuwa muwajibikaji katika maisha.
Baadhi ya wanafunzi wakisikiliza kwa umakini nasaha zilizokuwa zikitolewa na Dk Hamza Momoyo.
Prof. Ceth Nyagava ambaye ni muadhiri katika chuo hicho akimshika mkono Dk. Mwamoyo Hamza huku akielezea kuwa alishatamani kusoma Howard University chuo alichosoma Dk. Hamza.
Dk. Hamza akielezea umuhimu wa kuthamini fani yako akitolea mfano maisha yake katika tasnia ya uandishi wa habari.
Dk. Mkwera muazilishi wa Best FM akitoa machache kwa wanafunzi.
Prof. Nyagava akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa kuyajua majukumu na kuwa muwajibikaji katika maisha.
Baadhi ya wanafunzi wakisikiliza kwa umakini nasaha zilizokuwa zikitolewa na Dk Hamza Momoyo.
3/03/2013
Yaliyojiri kwenye Kili Marathon leo
Jamaa alikamatwa baada ya kumshika mke wa mtu makalio
Watoto wa kichaga wakimwaga radhi
Baadhi ya wakazi wa Moshi wakishuhudia show
Mshindi wa kike katika mashindano ya kucheza akiwa anaonesha vitu vyake
Uzalendo ukamshinda huyu mshikaji akamua kufanya kitu cha ajabu
Jamaa akiwa anacheza nyimbo ya chapia kwa kutumia baiskeli
Hawa nao wakakusanya raia kibao na kuwafanya waache kufuatilia kilichokuwa kinaerndelea jukwaani.
2/23/2013
Godbless Lema aahidi kufanya maandamano na wanafunzi wa Arusha Secondary katika kurudisha viwanja vya wanafunzi vilivyoporwa na Matajiri wachache.
NI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA HAMSINI TANGU KUANZISHWA KWA SHULE HIYO.
ASEMA MAANDAMANO MABAYA NI YA KUANDAMANA KWENDA KUVUTA BANGI SI KUANDAMANA KATIKA KUDAI HAKI..
ASISITIZA WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII NA KUEPUKA KUIGA TABIA HATARISHI HUSUSANI KUTOKA KWENYE VIPINDI VYA TV.
Akimkabidhi Hoyce Temu cheti maalumu kama moja ya zao la shule hiyo
Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Link inayowawezesha wanafunzi kwenda kusoma nje Abdulwakil Molel ambaye pia alisoma Arusha Secondary akitoa wito wa serikali kwamba ni lazima kujipanga zaidi katika kuokoa hali ya elimu nchini.
2/21/2013
2/07/2013
Lori lililokuwa limebeba madawa ya kulevya lakamatwa jijini Arusha
LIKIWA NA MAGUNIA 97 YA BANGI
Wakiwa wanatoa virago vilivyobeba dawa za kulevya
Magunia machache kati ya 97 yaliyokamatwa na Bangi
Kamanda mkuu wa mkoa (ARUSHA) Liberatus Sabas akiwa anakagua mizigo iliyokamatwa
Akiwa anaonesha raia sehemu ya bangi iliyokanatwa
1/28/2013
Kama unaweza jitoseeeeeeeeeeeeeee
Inside the 'moderately deluxe' £40m life on offer to suitor who can convince Hong Kong billionaire's lesbian daughter to marry him
Hong Kong billionaire Cecil Chao, right, who offered nearly £40 million to any man who could turn his homosexual daughter Gigi, left, straight, has revealed the luxury lifestyle which any suitor could expect should he win her hand. He still seems to be ignoring Gigi's civil partnership with Sean Yeung, offering a 'moderately deluxe lifestyle' to anyone who successfully pursues his daughter. And the 76-year-old billionaire gave a glimpse of just what he means when by 'moderately deluxe' as he welcomed a reporter into his Happy Lodge home on the western shore of Hong Kong.
written by Dailymail reporter
written by Dailymail reporter
1/19/2013
LEMA AHOJI KWA NINI DIAMOND ALIPWE MIL. 12 KWENYE SHOW YA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA WAKATI ALIIMBA NYIMBO 1 KWA DK 5
ADAI HAKUKUWA NA SABABU YA MSINGI YA KUFANYA HIVYO HUKU ZE COMMEDY GROUP WALILIPWA MIL 1O
NI KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA OYSTEBAY ARUSHA
GODBLESS LEMA JUKWAANI
Jamaa akiipondaponda T-shirt ya C.C.M
Hawa nao wakagawana hiyo T shirt ya C.C.M katika vipandevipande
MAMBO MENGINE ALIYOZUNGUMZIA MBUNGE WA ARUSHA MJINI NI PAMOJA NA USANII UNAOENDELEA KATIKA VIKAO VYA KAM ATI ZA BUNGE, UNAFKI UNAOENDELEA KATIKA NCHI HII PAMOJA NA SUALA LA MEYA WA ARUSHA MJINI YA KWAMBA BADO HAMTAMBUI.,
\
Subscribe to:
Posts (Atom)