Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

7/08/2011

Kwa mara ya kwanza fiesta imehappen pande za Iringa na mzuka wa kutosha.(picha na Frank Kimaro)


Chidi Benzi jukwaani na Dar es salaam standup
B twelve ndo alikuwa MC kimpango mzima


Mwana FA akaachia mangoma yake ya long time.

Kalapina na Sumalago ndani ya HIP HOP bila madawa inawezekana.



Jamaa kavimba sijui kisa nini au ndo hasira?

Dah! Bro alivyoimba mpaka mimi uvumilivu ulinishinda alipogonga pini lake la zali la mentali.

Sister hajielewi anacheza tu goma la Profesor Jay.


Madee akiperform nyimbo ya muheshimu baba.

Tunda man anawakumbusha raia kuwa starehe gharama.

Watoto wa Manzese wakiwa pamoja jukwaani

Roma mkatoliki akiwa anaenda kupanda stegini

Kibaridi cha Iringa kimemchapa dogo Godzila akaanza kungatangata lips.

"hakuna uongozi mbaya, kama wa kwako Jakaya" Ndo Roma huyo.

Diana akilperform mshatugeuza mafungu ya nyanya.

Dj Choka mtamboni


Dogo Stamina na Country boy wakichana ile laana.

Huyo ndo raisi wa walamba lips yupo stegini muite Bob Junior.

Inspector Haroun(babu) ndani ya pamba nyepesi

Jamaa kacheza nyimbo za babu mpaka akazima.

Jaffarai akiimba nyimbo ambazo hazikukubalika kivile na watoto wa Iringa.

                                                       Jamaa kamkamatia manzi  wake anamkiss kisela ndo mambo ya fiesta hayoooo alafu mwingine kama anasindikiza hivi?!

Jembe hilo Izo bussiness likiangusha magoma!

Kama Jigga vile selaa anaonesha swaga.

Mnzee wa nilipe nisepe akiperform goma lake huyo ni Berry 9.

God zilla akiwa anajiachia kwa stage


                                                                               "Elimu ya mtaa ndo imenipachika confidence wanasema mi ni mpole but not in dat sense"Joh makini jukwaani

No comments:

Post a Comment

COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.