Wakati wa mapumziko
Kocha wa timu ya mpira wa miguu na kikapu Mr. Renatus Mgongo akitoa maelekezo |
Mchezaji wa Tumaini aliyefunga goli la tatu maarufu kama
Mpoto (katikati) akipokea shukrani baada ya game kuisha.
KWENYE MPIRA WA KIKAPU MZUMBE WAKAPIGWA 48 KWA 23
Shabiki wa mpira wa kikapu Mobi akiwa katika pozi |
Tumaini wakacheza mchezo wanaouita FORT JESUS
Mambo yakaenda vyema lakini mchezaji huyu
alikuwa majeruhi wa nyonga
KWENYE MPIRA WA WAVU MZUMBE WAKACHEZEA KICHAPO PIA
Baadhi ya wanafunzi wakiwa uwanjani
Juhudi zikafanywa na wanafunzi wa Mzumbe ili kurudisha magoli lakini ikashindikana
KWENYE MPIRA WA PETE WAKAOSHWA TENA
Timu mbili zikichuana vikali uwanjani |
Mashabiki wa timu ya Tumaini wakiwa wanachekelea ushindi wa timu yao
Baada ya kufungwa Mzumbe wakawa wadogo kinyama
Hapa nikakutana na ndugu yangu wa Mzumbe ikabidi nimfariji maana alikuwa na machungu ya kufungwa.
Waziri wa michezo wa Tumaini Lazaro Mlyuka pamoja na mshauri wa wanafunzi wakaenda kutoa shukrani zao kwa wanafunzi wa Mzumbe
Hapa wanafunzi wa Mzumbe wakiwa kwenye gari tayari kwa safari |
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.