NI BAADA YA USHINDI WA BARACK OBAMA
Millicent Owour (20), alijifungua watoto hao siku ya jumatano na kuamua kuwaita jina la raisi wa marekani na Mpinzani wake kwa dhumuni la kuikumbuka siku hiyo.
Mwanadada Millicent Owour akiwa amewabeba watoto wake Barack Obama na Mitt Romney
Mwanadaada huyo alijifungua watoto hao umbali mfupi kutoka kijiji cha Kogelo sehemu aliyozaliwa baba wa Barack Obama na ni sehemu ambayo bado bibi yake Sarah Obama mwenye miaka Tisini anaishi.
Wakiwa wamepumzika
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.