TANZANIA GENDER NETWORK PROGRAM WAHIMIZA SUALA LA UKATILI WA WANAWAKE LICHUKULIWE KAMA NGUZO MUHIMU INAYOWEZA KUSAIDIA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA NCHI ENDAPO LITAPEWA KIPAO MBELE.
@ YABAINIKA SINGIDA NA MARA NDIO MIKOA INAYOONGOZA KWA UKATILI WA KIJINSIA
MKOANI SINGIDA KUNA KEMIKALI ZINAZOFANANISHWA NA ASIDI AMBAZO HUTUMIKA KWA UKEKETAJI WA WATOTO WADOGO.
JAMII YAOMBWA KUPIGA VITA UNYANYASAGJI WA KIJINSIA KWA MAENDELEO YA JAMII NZIMA.
HABARI KATIKA PICHA
Usu Mallya, Mkurugenzi wa Tanzania Gender Network Programme
akiongelea juu ya ushirikishaji wa wanawake katika ujenzi wa uchumi
Kikundi cha vijana kikitoa somo juu ya unyanyasaji wa wanawake kupitia maigizo
BURUDANI MUHIMU SASA HUU UKAWA WAKATI WA KUJIMWAGA
Baobab Johnson wakiwa wanaonesha uwezo wao wa kucheza
SEGEREEEEEEE, watu wakawajibika
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.