Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

12/07/2011

Mvua nyingi yanyesha mkoani Iringa na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za watu.

                                Baada ya mvua kunyesha maji yakajitengenezea mto

                        Moja ya nyumba zilizoinga maji na migomba ikiwa inasukumwa na maji

                 Baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia mto uliotengenezwa ghafla baada ya mvua kunyesha

                          Mtoto akijaribu kutafuta samaki aina ya kambale baada ya mvua hiyo kunyesha

                                Hapa ni baada ya mtoto huyo kufanikiwa kukamata samaki aina ya kambale.

No comments:

Post a Comment

COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.