Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

3/17/2012

Tumaini yaichabanga TEKU katika kila mchezo kasoro mpira wa miguu ambapo wametoka sare ya 2-2

Katika uwanja wa Netball mambo yalikua hivi



    Baada ya ushindi timu ya Tumaini ikajipumzikia

                                                                   Kwenye basketball sasa

   Timu ya Tumaini ikijiandaa na game

   Timu ya TEKU nayo iliwa imejipanga vyema

    Baadhi ya mashabiki wa kikapu wakiwa katika pozi

                       Vijana wa Tumaini wakiwa makini mchezoni

    Kijana Faraja Naiman akitulizwa baada ya kutaka kugombana katika game hiyo

    Mashabiki wa basketball wakiwa katika pozi

    Mashabiki wakicheki game kwa uangalifu kabisa

  Game ikaisha ambapo Tumaini walishinda na hapo wanaonekana wakisali

                                  Vuta nikuvute kwenye mpira wa miguu mpaka matokeo ya 2-2

    Vijana wakiwa uwanjani wanasakata kabumbu


    Kocha akitoa maelekezo kwa mchezaji baada ya maji kuonekana kuzidi unga

No comments:

Post a Comment

COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.