Wakiwa kwenye gari kabla hawajaingia chuoni Tumaini |
Gari la TEKU likiwa linaingia chuo kikuu cha Tumaini |
Hapa ilitokea hali ya kutoelewana na mlinzi akasema wanafunzi wa TEKU wasipoacha kelele hawatoingia chuoni. |
Hapa ndo wamefika chuoni na kupokelewa na mlezi wa wanafunzi |
Hapa baadhi ya wanafunzi wa TEKU wakiwa ndani ya jengo la library |
bado wakiwa ndani ya jengo la library wakipokea baadhi ya maelekezo |
Baadhi ya wanafunzi wa TEKU ndani ya studio za HOPE fm |
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.