KATIKA MPIRA WA KIKAPU
Hapo timu ya Tumaini inapasha kabla mechi haijaanza
Morani wa kimasai ukiwa unatoka jasho la hatari
Baadhi ya mashabiki wa mchezo wa kikapu
wakiwa wanaangalia kwa umakini kabisa
Mchezo ukaanza hapo Eliudi Kweba akimpasia
Hasheem wote wakiwa wachezaji wa Timu ya Tumaini
Hapo uwanjani mambo yalikua mazito kidogo
Sasa sijui huo ndo usharobaro au?
Mr. Renatus Mgongo anatoa maelekezo kwa wachezaji
KATIKA VOLLEYBALL RUAHA UNIVERSITY COLLEGE WAKAFUNGWA NA TUMAINI SET 3-0
Mwanafunzi wa Ruco akijaribu kuichapa
smash vyema kabisa kwenda upande wa Tumaini
wanajtuma kwa ajili ya kupata ushindi
Hawa sijui walikosa Grand Malt ndo wakaeka hili pozi la ajabu
Mchezaji bora maarufu kama Kanoti
akichukua zawadi kutoka afisa masoko wa Grand Malt
Capteni wa timu ya kikapu Hasheem Kiyarusi akichukua zawadi kwa ajili ya timu nzima
Mchezaji bora wa mpira wa kikapu Faraja Naiman akichukua zawadi
Wchezaji wa mpira kutoka Mkwawa wakishangilia baada ya
kuitwa kuchukua zawadi kama washindi waz mpira wa miguu
Kapteni wa timu ya Mkwawa akichukua zawadi kwa ajili ya timu nzima
Mchezaji bora wa mpira wa miguu
kutoka Mkwawa akichukua zawadi
AKAKARIBISHWA JOH MAKINI JUKWAANI
Akashika kipanza tayari kwa kuchana
Jamaa anatema madini vyema kabisa
Watu wakimsikiliza Joh anavyochana
Joh Makini na mmiliki wa blog hii katika pozi
iko poa man kip it up
ReplyDeleteRuko watangoja sana kwa Tumaini- BACD
ReplyDelete