Hapa ni wakati wa mapumziko
Mashabiki wa Journalism wakishangilia
Hapo ugomvi ulitaka kutokea ila ukasuluhishwa
Hapa muamuzi akanusurika na kipigo cha wanafunzi wa Tourism
ikabidi atulie kidogo
Mashabiki wa Journalism wakapiga naye picha
Shangwe la wanafunzi wa Journalism likaendelea
Habari katika Picha
Hapo sasaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kaka mkubwa Elisha Magolanga akatangaza ushindi
kwa mechi nyingine zinazofuata
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.