NI KATIKA KUFUNGA MAFUNZO YA WAENDESHA PIKIPIKI
YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA DAR ES SALAAM
KAIMU MKURUGENZI MKUU WA SUMATRA, BW AHMAD KILIMA NDIYE
ALIYEKUWA MGENI RASMI
HABARI KATIKA PICHA
Sergeant Polycarp Mwandanji akiwaongoza waendesha bodaboda
katika kula kiapo juu ya utekelezaji wa sheria barabarani
Kaimu Mkurugenzi wa SUMATRA,Bw Ahmad Kilima akimshika mkono Omary Sadiki kwa kumpongeza kwa juhudi alizoonesha katika kuonesha jinsi walivyojifunza juu ya matumizi ya barabara.
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.