Akiwa pamoja na muandishi wa kitabu hicho Assistant Lecturer wa School of law katika chuo kikuu cha Da r es salaam, Bw Abdon Rwegasira(kushoto) pamoja na Vice Chancellor wa chuo hicho Prof. Rwekaza Mukandala.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katiba Maria M. Kashonda akielezea migogoro ya ardhi hususani inayosababishwa na kutokuwepo na haki ya wanawake kumiliki ardhi. Akasisitiza haki ya mwanamke kumiliki ardhi lazima iwepo katika katiba.
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.