*Mgambo wa manispaa ya Temeke ndio waliohusika
*Ilikuwa ni usiku wa kuamkia Leo
*Wadai hawakuwa na taarifa yeyote
*Mwenyekiti wa serikali za mitaa asema serikali haitambui
kilichoendelea
Baadhi ya hazina iliyosalimika baada ya nyumba kubomolewa
Jamaa akikusanya mzigo wake baada ya hali kuwa tete
Kukomaa huku mzee Fastaeli Samanga akibeba mabati yake
Jamaa alinusurika ikabidi aanze kungoa mbao za kibanda mwenyewe
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.