Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

11/09/2011

Freeman Mbowe ajisalimisha mikononi mwa polisi.

Baada ya Tundu Lisu na Dr. Wilbroad Slaa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kutaka kuanzisha vurugu ambapo Dk. Wilbroad Slaa alikamatwa na silaha lakini baada ya hapo kulikuwa na tangazo la kutafutwa kwa mwenyekiti wa chama(CHADEMA) ambapo leo mapema alifanikiwa kujisalimisha Mbowe alionekana katika kituo cha polisi makao makuu Arusha akichukuliwa maelezo na inasemekana huenda akaunganishwa katika kesi inayowakabili viongozi wake waliofikishwa mahakamani jana, Dr. Wilbroad Slaa na Tindu Lisu.

No comments:

Post a Comment

COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.