Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

11/10/2011

Naibu waziri wa mikopo aapishwa katika chuo kikuu cha Tumaini Iringa.

                              Moses Samson alipokuwa akiapishwa katika ofisi ya raisi kama 
                                  naibu waziri wa mikopo katika chuo cha Tumaini-Iringa
                                  Raisi wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa Mh. Method Kagoma akiwa 
                             anaelezea jambo wakati wa sherehe ya kuapishwa naibu waziri wa mikopo.
                                Naibu waziri mteule akiwa anasikiliza nasaha za Raisi wa chuo.
 
                                       Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo katika sherehe
                                ya kuapishwa naibu waziri wa mikopo ndani ya ofisi ya raisi.

                              Waziri mkuu wa chuo cha Tumaini Iringa, Bahati Richardson akiwa
                                   anaongea machache baada ya kuapishwa kwa Moses Samson.

         Spika wa bunge la chuo Henry Mwinuka(kushoto),naibu spika Mauna Chuma(katikati) wakiwa                       na waziri wa ulizi Eliasa Salumu katika sherehe hiyo fupi ya kumuapisha naibu waziri wa mikopo.

    Naibu waziri wa habari na mawasiliano Catherine Moshi akiwa katika sherehe hiyo fupi. 

     

No comments:

Post a Comment

COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.