Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

11/10/2011

Harakati zinaendelea Mbowe adai kuwa polisi ni waongo.

Asema kwamba simu yake ilikuwa wazi masaa yote lakini hakupigiwa simu kuambiwa kuwa anatafutwa anashangaa kuona kwenye vyombo vya habari kuwa anatafutwa na polisi kudai kuwa amekimbia kitu ambacho hakikuwa kweli hivyo ameamua kujisalimisha mwenyewe polisi na amedai kuwa haogopi chochote huku akidai kuwa wakati wenzake wanakamatwa yeye hakuwa eneo la tukio kama polisi walivyosema.

No comments:

Post a Comment

COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.