Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

12/23/2012

Watu kibao Kariakoo wakifanya shopping ya Christmas

                                                  Kwenye mtaa wa Agrey mambo yapo hivi

                                                   Watu busy sana kazini

                                              Watu kibaooooooooooooooo

Gari aina ya Fuso laanguka maeneo ya Mtoni kwa Azizi Ali

                                    Wananchi wakilishangaa gari hilo

                                   Jinsi linavyoonekana

                                      Muonekano wake kwa mbali

12/21/2012

Lulu asomewa mashtaka yake leo kisutu

LULU ASOMEWA MASHTAKA YAKE LEO,
ARUDISHWA MAHABUSU MPAKA ATAKAKAPOSIKILIZWA TENA MAHAKAMA KUU,

MASHAHIDI TISA KUTOA USHAHIDI MAHAKAMA KUU

                                                     Baada ya kesi kuisha

                                                   Akiwa anashuka kwenye ngazi

                                                  Akiwa anaondoka mahakama ya Kisutu

Lema arudishiwa Ubunge: Mahakama ya rufaa imesisitiza kwamba hukumu iliyotolewa mwanzo haikuwa ya haki

Wafuasi wa CHADEMA WAANDAMANA MPAKA MAKAO MAKUU BAADA YA USHINDI WA LEMA

ADAI ALIKUWA HONEY MOON SASA AMERUDI KAZINI
                                      Watu wakijimwaga barabarani kushangilia ushindi wa Lema

                                 Akiwa pamoja na wafuasi wake barabarani kuelekea makao makuu

                                  Bodaboda nazo zilikuwepo kama kawaida

                                   Hapa akasisitiza alikuwa Honey moon sasa amerudi kazini

                                              Mwenyekiti wa CHADEMA naye akaongea kidogo na wananchi baada ya kuwasili makao makuu ya CHADEMA

                                  Watu PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEZ wengine wanajibu POWERRRRRRRR

12/17/2012

Mawakili 618 waapishwa katika viwanja vya Law school

Baaadhi ya mawakili wakijadili mambo mbalimbali 

                                       Mavazi sasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


                                       Mawakili wakisikiliza kwa umakini

                                 Jaji mkuu wa Tanzania Ramadhani Othman Chande akitoa nasaha zake


                                    Mhariri kurasa wa zamani wa gazeti la Daily News akiongea jambo na Mwanasheria mkuu wa serikali.

12/14/2012

Chikawe unveils what hinders development in Tanzania


By FRANK KIMARO

Selfishness and favoritisms are among things which hinder work efficiency in  any organization.

The Minister for Constitution and Legal affairs, Mr Mathias Chikawe made the remarks when launching the Ministry’s Workers Council meeting which elected new leaders in Dar es Salaam yesterday.

“Such attitudes bring complaints and reduce workers commitment and morale in work place,” he said.

The Chairman of the council Mr Fanuel Mbonde still continues with his term while Justin Moshi is the new secretary and Rose Lugendo his assistant.

Minister noted that there are some organizations in which leader’s decision are normally influenced by selfishness and favoritism.

“It is not a surprise to see in different organizations, chances for schooling, official trips or even ranks are given on the basis of religion, tribalism and sometimes friendship. That is a bad behavior which divides workers and we should make sure we are escaping it,” he told the workers council.

He further mentioned the poor uses of power is among the disease which contributes highly to our country’s destruction adding that there are people who are playing great part in the matter.

“Poor uses of power and Public wealth are a cancer which is attacking our country currently and some of us we have become ants, we chew and destruct public wealth without any fear,” he said.

Mr Chikawe also said that discipline and avoidance of conflicts in places of work are vital if any organization or ministry needs development,t adding that wherever there is lack of discipline and conflicts between workers there is also inefficiency in working.

Other issues which were discussed in the Ministry of Constitution and Legal Affairs Workers Council meeting, includes lack of workers in the ministry.

Mrs Christina Sonyi is the Director of Policy and Plans in the Ministry, In her presentation she noted that there are some departments which lack workers and that sometimes act as an obstacle in the implementation of different strategies and plans in the Ministry.

“There is scarce of labors in some departments, that is among the challenges we are facing and it hinders the implementation of our policies and strategies,” she said.

Responding to the matter, a special delegate of the council, Mr Moses Chitama noted that they are fighting to make sure that they employ people in order to eradicate the problem.

“We have employed some people especially in Procurement department, now there are some eight people in it, and we hope we will do the same to other departments which are lacking workers,” he said.

Kikao cha baraza la wafanyakazi katika wizara ya katiba na sheria chamalizika.

                                Waziri Mathias Chikawe akiongea na wafanyakazi wa wizara

                                 Akisisitiza jambo

12/13/2012

Ponda afikishwa tena mahakamani: Mashahidi wawili wasikilizwa


                                  Akiwa anasindikizwa na ulinzi wa maaskari kuelekea mahakamani


                                             Ulinzi ukiwa umeimarika vyema

Na Flora Mwakasala
MJUMBE wa Baraza la Ulamaa, Shekhe Habibu Ismail (46) ameieleza mahakama kuwa baraza hilo liliridhia na kutoa kibali kwa Baraza la waislamu Tanzania (Bakwata) kubadilishana ardhi na na kampuni ya AgriTanza.
Alidaa hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakati akitoa ushahidi katika kesi ya uchochezi na wizi wa mali zenye thamani ya Sh milioni 59 inayomkabili Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Shekhe Ponda Issa Ponda na wenzake 49.
Akiongozwa na Wakili wa Serikali Tumaini Kweka kutoa ushahidi, Shekhe Ismail alidai kuwa, kampuni hiyo inamiliki kihalali kiwanja kilichopo katika eneo la Chang’ombe markazi kwa kuwa walifuata taratibu zote za kubadilishana ardhi.
Alidai kuwa Januari 3 mwaka jana baraza hilo lilikaa kikao na kutoa majukumu kwa Katibu wa Bakwata pamoja na timu yake yautendaji kutafuta eneo kubwa kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu ambapo Januari 8 walisema wamepata eneo la ekari 40.
Shekhe Ismail ambaye ni Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga alidai kuwa, walikwenda kuliona eneo hilo lililopo Kisarawe Mkoani Pwani, kwa kuwa walikuwa na wasiwasi kutokana na eneo lao kuwa ekeri nne na kampuni hiyo kukubali kuwapa ekari 40.
Akihojiwa na wakili wa washitakiwa, Juma Nassoro, Shekhe Ismail alidai kuwa hafahamu utaratibu uliotumika kuipata kampuni ya Agritanza kwa kuwa watendaji wakuu walikuwa Bakwata na hajui kwanini eneo hilo ambalo awali alidai lilikuwa ni ekari 27 lilibaki ekari nne.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Kampuni ya Agritanza, Suleiman Mohamed akitoa ushahidi alidai kuwa alisikia Bakwata wanatafuta eneo la ekari 30 na wapo tayari kubalishana ndipo walipoamua kuwatafuta na wakaambiwa watakubaliana baada ya kufuata taratibu.
Alidai baada ya kupata eneo hilo walizungusha ukuta kutenganisha eneo lao na shule ya kiislamu ya markazi lakini aliambiwa Ponda na wenzake walifika hapo na kuwaamuru mafundi wasimamishe ujenzi na wao waliafiki lakini baada ya muda  watu wanaokadiriwa kuwa zaidi 300 walivamia eneo hilo na kuanza ujenzi.
Hata hivyo akihojiwa, Mohamed alidai hawafahamu washitakiwa hao na kwamara ya kwanza alimuona Ponda alipokwenda kutoa maelezo kituo cha polisi na kuongeza kuwa hakuibiwa mali zake lakini watu asio wafahamu walitumia matofali mchanga na kokoto kujenga.
Mahakama imepokea vielelezo vitatu ambavyo Muhutasari wa kikao cha Januari 3 na Januari 8 mwaka jana cha Baraza la Ulamaa pamoja na mkataba baina ya Bakwata na Kampuni ya Agritanza. Kesi itatajwa tena desemba 18 na kuendelea kusikilizwa desemba 31 mwaka huu.
                                      Polisi wakiwalinda wafuasi wa Ponda

                                 Wakili wa Ponda Bw Juma Nasoro akiongea na wafuasi wa Ponda

12/09/2012

Burudani yatumika kuhamasisha wananchi wa Lindi juu ya Lishe bora

Mrisho Mpoto akiongoza watoto waliobeba mabango juu ya Lishe bora
Mpoto akiwa kwenye maigizo na kikundi chake cha Mjamba

                                 Kaimu mkuu wa mkoa wa Lindi akiwa anashuka kwenye gari
 
                                                       Kijana wa sarakasi akiwa kazini

                               Kikundi cha watoto kikiimba ngonjera inayoasa juu ya Lishe bora

                                     Umati wa watu ukishuhudia michezo mbalimbali
                                                                 Wanasarakasi kazini

12/06/2012

Vibanda vya wafanyabiashara Kongowe vyabomolewa

*Mgambo wa manispaa ya Temeke ndio waliohusika
*Ilikuwa ni usiku wa kuamkia Leo

*Wadai hawakuwa na taarifa yeyote
*Mwenyekiti wa serikali za mitaa asema serikali haitambui kilichoendelea


                                   Baadhi ya hazina iliyosalimika baada ya nyumba kubomolewa


                                       Jamaa akikusanya mzigo wake baada ya hali kuwa tete

                                 Kukomaa huku mzee Fastaeli Samanga akibeba mabati yake

                              Jamaa alinusurika ikabidi aanze kungoa mbao za kibanda mwenyewe

12/05/2012

Prof. Anna Tibaijuka azindua kitabu kinachoitwa"LAND AS A HUMAN RIGHT"

Akiwa pamoja na muandishi wa kitabu hicho Assistant Lecturer wa School of law katika chuo kikuu cha Da r es salaam, Bw Abdon Rwegasira(kushoto) pamoja na Vice Chancellor wa chuo hicho Prof. Rwekaza Mukandala.

                                Prof. Anna Tibaijuka akikiongelea kitabu na jinsi kinavyoweza kusaidia jamii ya Tanzania.

                            
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katiba Maria M. Kashonda akielezea migogoro ya ardhi hususani inayosababishwa na kutokuwepo na haki ya wanawake kumiliki ardhi. Akasisitiza haki ya mwanamke kumiliki ardhi lazima iwepo katika katiba.

12/04/2012

Rufaa ya Lema yanguruma: Lisu aichachafya mahakama

Wakili wa Lema akiongea na Lema wakati wa mapumziko

 Akiwa mahakamani

                                                      Baadhi ya watu wakisikiliza rufaa ya Lema

                                                     Akiwa anatoka mahakamani


                                             Akiwa anaoneshwa sehemu ya kusimama ili aongee na watu

                                           Hapo akabainisha kuwa alionewa ila anaamini Mungu yupo na pia haki haikutendeka maana ikulu waliingilia kazi yake.
                                    STORY IN ENGLISH

By FRANK KIMARO
Consul for Former Arusha Urban Member of Parliament, Godbless Lema, yesterday requested the court of appeal to quash the high court judgment and set aside it`s decree nullifying the election results of their client as Member of Parliament for Arusha Urban Constituency.

On 5th April this year, High Court Judge, Gabriel Rwakibalila unsated Lema after holding that the Former MP had committed illegal practices including using abusive language against CCM candidate,Dr Batilda Burian during campaigning in 2010 general election .

Lema council, Tundu Lisu faulted such findings when addressing judges of the appeal court claiming that the CCM members who had petitioned to challenge the election results of which Judge Rwakibalila relied in their evidence to give his judgement had no mandate of doing so.

“The only proper person to substantiate such defamatory was  Dr. Batilda and not the three petitioners as they were not the one defamed,” he told a panel comprise of Justice Salum Massati, Natalia Kimaro and Justice Bernard Luanda.

Supporting argument by Advocate Lisu, State Attorney Timoth Vitalis appeared in court on behalf of Attorney General told the judges that defamation is a total of person nature and the one who was defamed was required to appear in  the court but surprising enough she didn`t.

In addition to that he said that among the issues which were raised in high court against Lema includes resident discrimination in which he was accused of speaking abusive words against CCM candidate noting that kind of discrimination is not recognized by the law.

“There are four types discrimination according to the law which are Gender discrimination, Racial discrimination, Religious discrimination and Racial discrimination those others are not recognized by the law,” he said.

However the lawyer for three CCM members, Advocate Alute Mughwai requested the court to dismiss with cost the appeal by the reason that grounds of appeal raised lacked facts and they have no power to challenge the judgement of high court.
The decision which is the subject matter in the appeal was given on April 5, 2012 by High Court Judge Gabriel Rwakibalira, declaring Lema's election in the 2010 General Elections null and void.Lema had polled 56,561 votes, leaving Dr Batilda Burian, his closest challenger and a CCM candidate, finishing a distant second with 37,460 votes.  Dr Burian, a former Cabinet minister, is now Tanzania's High Commissioner to Kenya.
His victory was nullified after the court said it had been proven beyond any reasonable doubt that the then Chadema candidate uttered defamatory remarks and used abusive language against his CCM rival, Dr Burian.But later CHADEMA appealed against the ruling claiming it was a "travesty of justice," citing that the alleged defamatory and abusive language said to have been used by Lema against the CCM candidate, in the preceding campaigns had not been proven.
The opposition party claimed that such claims were not substantiated because the victim, Dr Buriani, who contested with Lema, did not appear before the court to corroborate them.




11/29/2012

Plan International watembelea wakazi wa Kibaha

                                 Mwenyekiti wa Plan International katikati, Mr Nigel Chapman(katikati) akiwa anasikiliza kwa umakini.
                                 Ellen Louie akiuliza swali kwa wafanyakazi wa Plan tawi la Kibaha

BURUDANIIIIIIIII IKAFUATA KUTOKA KIKUNDI CHA KIGWEREMBENDE




                                                        Ellen akiwa amembeba mtoto Mariam